Monday, October 19, 2009

TUSEREBUKE AEE! AEE!

Ndio hali halisi jamani kila kona ya jiji mambo ndio hayoo hakuna anaekubali kushindwa. na mimi nagombea jamani nipeni kura zenu

2 comments:

Anonymous said...

hapo vumbi hadi mapajani, bila kusahau jasho la kutosha,,,,,,,, kaaaz kweli kweli

viva afrika said...

bi dada umepotea jamani, vipi tena huko mbeya, haya sie wana jamvini twakuombea salama urejee barazani na kutujuza ya huko mbeya.

Post a Comment