Wednesday, October 21, 2009

JAMANI TUACHE KUVAA NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA

kuna baadhi ya nguo jamani huwa tunavaa
lakini hatujui madhara yake, wengi wetu tunapenda kuvaa nguo za mtumba, ila sasa hebu angalia madhara yake. hii ni kwa wale wanaovaa nguo za ndani za mitumba.

No comments:

Post a Comment