Monday, October 19, 2009

MAMBO YAMEIVA

Ikiwa leo ni tarehe 19, zimebaki siku 5 ufanyike uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati. mambo siyo mabaya kwa kweli maana kelele zimeanza ,magari ya kampeni yanakazana vikundi vya ngoma navyo mambo byeee, kila kona na staili yao kama unavyoona picha.

No comments:

Post a Comment