Thursday, September 24, 2009

HUYU NDIYE HERIEL KACHENJE

jamani jamaa anafaa kuwa model kama vipi unaweza ukamchukua akatangaza biashara yako
jamani Heriel ana mke wake kwa hiyo msijichekeshechekeshe kwake. ooohoo
hapa akiwa PPR moja ya redio ambayo amefanya kazi na hadi leo yupo hapo ila kwa pat time


UNAJUA KUNA MTU ANAWEZA KUFANYA KAZI KWA MUDA MFUPI NA AKAKUBALIKA.NIKIMZUNGUMZIA HERIEL KACHENJE KWA WALE WANAOMFAHAMU MTAKUBALIANA NA MIMI KUWA NI MCHAPA KAZI.

KIUKWELI HERIEL ALIWAHI KUFANYA NA SISI HAPA MBEYA FM KWA MUDA WA SIKU 3 TUU, UKWELI HAKUNA MTU ALIETAMBUA WALA KUFIKIRI KAMA KAZI ITAFANYIKA HARAKA HIVYO.
NI MUHIMU KUFIKIA HATUA YA KUWAPA SIFA NA KUWAKUMBUKA WALE WANAO TUFANYIA VITU VIZURI KABLA HAWAJAFARIKI KWA SABABU WATU WENGI TUMEZOEA KUSIFIA MTU AKIWA TAYARI AMEFARIKI.

HERIEL NI MTU AMBAYE ALITUFUNDISHA VITU VINGI KW A MUDA MFUPI., VILEVILE ALIKUWA MWEPESI KWA MAMBO MATANO:
.KUFIKIRI HARAKA
.KUAMUA
.KUJIAMINI
.KUTENDA KAMA HUTAFANYA TENA
.KUTHAMINI WAKATI

HERIEL KACHENGE AMEBAHATIKA KUFANYA KAZI GAZETI LA YANGA SPOTI HAPO ZAMANI WAKATI GAZETI LIMEANZA KAMA MWANDISHI WA KAWAIDA , RADIO YA TAIFA YA UGANDA IKO UGANDA, A.K FORWADERS COMPANY…... , DJ KATIKA CLUB MBALIMBALI JIJINI DSM AMBAZO MPAKA SASA ANAFANYA, MTANGAZAJI NA RIPOTA KATIKA RADIO AMBAPO YUPO KWA PART TIME.

MPAKA SASA ANAFANYA KAZI NDEGE INSURANCE COMPANY ILIOPO DAR ER SALAAM HIYO NI CV KWA UFUPI AMBAYO INAONYESHA JINSI GANI ALIKUWA ANAPIGANA KIMAISHA KUHAKIKISHA ANAFIKIA MALENGO YAKE. KIUKWELI ANA HAMASISHA SANA COZ ALWAYS UKIWA NAE ANAKUELEKEZA JINSI GANI YA KUSONGA MBELE KIMAISHA.

KIKUBWA ALIKUA ANAPENDA KUTUHUSIA.

U MUST BELIVE YOUR SELF AND WORD CAN BOLIVE IN YOU.

11 comments:

Anonymous said...

Da jaki,
Umemalizia vibaya
"Believe in Yourself and the World will believe in You"

Kwa U model kaka naona "aka" I mean miaka imeenda. aendelee kupiga mzigo. hahhah!

Anonymous said...

Sasa dada Jaki huyo jamaa mbona hana sifa za umodel? mwache apige kazi na atunze familia, kama alivyosema mdau, mwache apige mzigo.

Mzee wa Changamoto said...
This comment has been removed by the author.
Mzee wa Changamoto said...

Amani, Heshima na Upendo kwako Da Jackline.
Napenda kukupongeza kwa pongezi na namna unavyothamini UWEZO wa mtu. Ni jambo jema saaana kumshukuru na kumthamini mtu anayefanya mema. Nimefurahi pia kuona tuko wengi tunaojitahidi kuthamini kazi ama michango ya wenzetu wanaotusaidia ilhali wakiwa hai kama ambavyo niliandika katika post yangu hii hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/06/give-it-all-youve-got-today.html)
Pongezi kwako
Kisha niungane na mtoa maoni wa kwanza kuhusu typing errors hapo barazani.
Karibu kwenye ulimwengu wa blogu, karibu CHANGAMOTONI na tuko pamoJAH

Anonymous said...

dah!amakweri wabongo wabana ji yani mwezenu akitoka kidogo hooooo hivi hooo vileeee acheni unazi jaaa mi namuilewa long time kitambo yuko poa tokea coco beach ucpime mwana,mkubalini then mumpe mashavu alafu muone moto wake,mjungu haya saidii kila mtu itapofikia time atakuwa na familia 2.

Anonymous said...

mi nime mkubali bwana kama vipi nigee namba yake naitwa elice from.......hai jamani mzurii

Anonymous said...

Model gani huyuuuu???????

mtu mwenyewe hana hata mvutooo wa matangazo,labda atajitangaze kwa mkewe ndio biashara yao itatoka.

hapa hakuna cha nini wala nini huyu jamaa hana mvuto wowote na wala hatumsingizii.

nimemalizaaa.

Anonymous said...

ok any way but cv yake umeiona mana uzuri co pesa,mimi anita from arusha binasfi nime mpenda kama bado nataka kaa jamani ila najua nikitoa namba yangu ata ambao hawa ucki wataka.

Anonymous said...

haaaa watu wanua wanaponda picha 2 dah tugeukie
upande wa mafanikio yake yana somaje then muache malumbano ya sura wengine hamna mbele wala nyuma inge faa m2 kama huyu tumatafute atusaidie kifikia malengo.

Anonymous said...

haya jamani mmesema sana. hivi nyie mnaangalia sura au uwezo wa mtu? ila poa nyie mnamponda yeye aningiza ankara. kaka mzuri mwacheni nimemfia ile mbaya. ila samahani kwa mwenye mume na anayemmiliki huyu kaka ana faidi daaaaaaaaaaaaah.!!!!

Anonymous said...

Da Jack nakubaliana na wewe kabisa,jamaa ni hard worker.keep on it.Sammy.

Post a Comment