skip to main |
skip to sidebar
Uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati za mitaa ndio huo unanukia, tarehe 25.10.2009 ndio tunapiga kura. sasa siku hizi watoto wengi ndio wanahudhuria kwenye kampeni, mimi najiuliza wanaotakiwa kupiga kura ni wale wenye miaka 18 na kuendelea, sasa hao watoto wa miaka 7,8.9 wanafanya nini? na ukiangalia hakuna helkopta ya kushangaa ila ni wengi kuliko wanaotakiwa kupiga kura.
1 comment:
helo jack, blog yako ni nzuri, unabip mno mpaka week tatu zipite ndio unatupa habri, tuhitaji sana pich za kutoka mbeya, hasa maeneo maharafu kama mwajelwa, makunguru, airpot. isanga, mama johh, uyole. kwasasa sisi tulio mbali tunatamani sana kuona tena nyumbani.bule jama!
Post a Comment