Wednesday, September 23, 2009

Kipita Shoto Chetu Hichoo

hiki ndio kipita shoto chetu wana Mbeya,kama umefika katika jiji hili halafu hukukatika katika kipita shoto hiki basi wewe bado hujafika Mbeya maana kipo taun kabisa.

No comments:

Post a Comment