Monday, December 28, 2009

SHOO LOVE

Pozi la kisikukuu sikukuu hilo

mie (pili toka kulia) nikiwa na vijana wa THT ambao walitua jijini hapa kwa ajili ya shoo moja matata sana iliyofanyika katika ukumbi wa Royal Zambezi siku ya mkesha wa Xmas,kiukweli shoo hiyo ilifana sana tena sana.

No comments:

Post a Comment