Sunday, December 27, 2009

MZUKA WA X-MASS NA MBEYA FM NDANI YA ROYAL ZAMBEZI MBEYA

Msanii Amini toka THT akiwajibika jukwaani na Mwanadada aliekuwa akimpa tafu katika pini lake.
Barnaba akiing'arisha mbala mwezi yake jukwaani jiji Mbeye siku ya mkesha wa Xmas.
R.Tony akiwakilisha ipasavyo jukwani
Beka ni kijana mdogo sana ndani ya nyumba ya vipaji iliopo maeneo ya Kinondoni ,jijini Dar lakini ni mkali sana katika kucheza na MC na anatamba vilivyo na wimbo wake unaoitwa Natumaini.
vijana wa OFFSIDE TRICK nao walikuwepo jijini Mbeya siku ya mkesha wa Xmas kumsaka Bata wao aliepotea.
kijana Diamond ambaye kwa sasa anatesa sana na kibao chake kinachoitwa Kamwambie akiongoza safu ya ushambuliaji katika jukwaa la ukumbi wa Royal Zambezi Holi siku ya mkesha wa Xmas.
Mashabiki wakiwa wanaserebuka

No comments:

Post a Comment