Monday, April 12, 2010

KUMBUKUMBU

Ni miaka 9 sasa tangu ulipoitwa

na Bwana 12.04.2001, baba yetu mpendwa EMMANUEL ZEBEDAYO MWASUBIRA

tunakukumbuka sana kwa upendo,

busara na hekima zako.

Unakumbukwa na mkeo Bertha Mwasubira,

wanao Enock Bwigane , Victoria Ntuli , Edna Nisile na

Allan Mponjoly , Mkweo Miriam Bwigane

na mjukuu wako Aikman Alinanuswe.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa

Jina la Bwana lihimidiwe...Amen



1 comment:

Post a Comment