Monday, April 5, 2010

JAMA INTERTAINMENT YAFANIKISHA SHOW YA JAHAZI MORDEN TAARABU MBEYA

MWANAHAWA ALLY AKIWA KATIKA POZI NA MASHABIKI









Jumamosi katika mkesha wa pasaka wakazi wa jiji la Mbeya walikuwa wakiburudika na jahazi morden taarabu ndani ya ukumbi wa mkapa, show hiyo ilikuwa ya aina yake kwani watu walifurika pasipo mfano. show hiyo iliandaliwa na JAMA INTERTAINMENT na kudhaminiwa na TBL kupitia kinywaji cha REDS, pia SBC TANZANIA LMTD kupitia kinywaji cha PEPSI na 89.5 MBEYA FM.

MFALME AKIWAJIBIKA




MASHABIKI WAKIWA WANABURUDIKA

MALKIA NAYE ALIKUWEPO KUMSINDIKIZA MFALME

JUMANNE ULAYA AKIWAJIBIKA
THABITI ABDUL NAYE ALIKUWEPO
MALKIA AKIWAJIBIKA JUKWAANI
WAIMBAJI WA JAHAZI WAKIWA KAZINI


2 comments:

Anonymous said...

hongera sana kwa kazi nzuri,lakini kwanini bloghii inasinzia sana?hebu ijaze mambo basi wangu duuuuuuuu,unalea kimimba nini ndio maana busy sana?WAKORA WAITU.

Anonymous said...

eehe mbeya kumekucha si haba wadada wanaatract ile mbaya imependeza huyo jamaa wa bata anavyopenda wanawake alitoka mtupo hapo au aliyenaye kambada sana, mwambie ajiadhali mbeye si ya kuchezea ikiichezea inakuchezea

Post a Comment