
Muimbaji mahiri wa bendi ya FM Academia,Josee Mara akifanya vitu vyake stejini

Josee Mara akiongoza safu ya ushambuliaji ya wana Ngwasuma katika ukumbi wa Royal Zambezi uliopo katikati ya jiji la Mbeya mwishoni mwa wiki iliyopita.

wanenguaji wa FM Academia wana wa Ngwasuma wakichakarika ipasavyo

Wapenzi wa muziki wa Dansi wakilisakata ngwasuma kwa raha zaooo

Wadau kibao walikuwepo katika shoo ya nguvu iliyoangushwa na wazee wa Ngwasuma mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa kujidai wa Royal Zambezi,jiji Mbeya
No comments:
Post a Comment