
Mie nikiwa nimepigwa konozz na mwanamuziki/muimbaji wa bendi ya FM Academia Josee Mara ndani ya ukumbi wa Royal Zambezi kabla ya kuanza kwa shoo yao.

Dj wa Kwetu Africa,Dj Accrama nae alipigwa konozz na Josee Mara siku ya shoo yao katika ukumbi wa Royal Zambezi mwishoni mwa wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment