Friday, December 4, 2009

Hee!! Kumbe Hata Hizi Ziko Hivi??

sikuwahi kusikia wala kufikiria kama kuna kitu kama hii,yaani nimeona maajabu keli nilipoiona hii kwani ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona kitu kama hii.Je wewe ulishawahi kukutana na kitu kama hii Before??

No comments:

Post a Comment