Thursday, November 26, 2009

TULIANZA KAMA TIMU

Hii picha haionekani vizuri naomba mniwie radhi lakini hawa ni baadhi tu ya watangazaji wa mbeya fm wengine hawapo pichani, lakini wanne kati yao hatupo nao tena kutokana na sababu zao lakini wawili ni kutokana na utovu wa nidhamu na hao 2 waliamua, kama tunavyojua akiondoka mtu anaingia mtu baada ya siku 3 tukapata watu wengine watano. napenda sana rangi ya pinki.

No comments:

Post a Comment