Thursday, November 26, 2009

HAWA WAKAJIONDOA KWENYE TIMU

Huyu anaitwa Peter Mlangi a.k.a dj P, alikuwa dj wetu lakini akaona kukaa mbali na my wife wake ni noma akaamua kuondoka na kwenda DSM kwa my wife wake. Alikuwa na busara sana na ni muelewa sana ila jamaa ana hasira ukimuudhi tu yeye ana mkono mwepesi sana, kwa hiyo haoni noma kukupa chako, nakukumbuka sana my brother
Anaitwa Ambwene Christopher alikuwa ofice administrator wetu na alikuwa my best friend lakini kaamua kuondoka, nitakukumbuka daima my friend.

No comments:

Post a Comment