Friday, November 20, 2009

OMBEA TANZANIA

We must pray jamani, kuna wenzetu wanaishi katika mazingira magumu sana. angalia picha then utakubaliana nami kuwa tanzania tumebarikiwa na tunatakiwa kuiombea

1 comment:

Anonymous said...

yes Jack we must do that, HADI nimesisimka mwili mzima. tena nimeogopa na huu ndio msimu wa mvua. MUNGU IBARIKI TANZANI

Post a Comment