
refarii akiwa na malaizmen wake pamoja na makapteni wa timu zote mbili.

kikosi cha timu ya Kanda C katika picha ya pamoja(sijui huyo kepteni wa timu pinzani kafata nini huku?)

kikosi cha timu ya Kanda E katika picha ya pamoja.

Manager naye hakuwa nyuma katika ukaguzi wa timu.

Mh.mgeni rasmi katika mashindano hayo,Mh Samuel Lazaro akisalimiana na wachezaji wa timu zote mbili


mawaidha yamekolea wakati wa hafutaimu.
No comments:
Post a Comment