Friday, November 27, 2009

NICE WEEKEND

JAMANI WEEKEND NJEMA NA SIKUKUU NJEMA YA IDD-EL-HADJ
JJUMAPILI MIE NITAKUWA UWANJA WA SOKOINE KUFIESTIKA. KAMA VIPI J3

3 comments:

Anonymous said...

we mtoto wewe jamani, haya bwana mi sisemi weekend njema pia and i love youuuuuuu.


Romeo-Dodoma

Anonymous said...

wewe mbona unajifanya mjuaji!!hivi unajua kuwa dodoma sio mbali!ohhh ukiona vyaelea vimeundwa usijifanye k...... di..... shauri yako.(WAKORA WAITU).

Anonymous said...

mbona hamueleweki nyie watu, mara huyu kasema hivi mara yule kasema vile loooooh, big up mdogo wangu. AISHA WA ZANZIBAR

Post a Comment