Tuesday, November 10, 2009

HELLOW

JAMANI NIAJE? NI MUDA MREFU SANA SIJAWACHEKI ILA NI MATATIZO TU YA HAPA NA PALE AMBAYO KILA MWANADAMU ANAYAPITIA. BY THE WAY NIMEBACK AGAIN.

3 comments:

viva afrika said...

karibu sana tuendeleze libeneke

Anonymous said...

ULIFICHWA WAPI WEWE MTOTO?KWENYE SUTI YA NANI? BY WAKORA WAITU(E)

Mzee wa Changamoto said...

Pole kwa matatizo. Nimeyasoma kwa Kaka Agape.
Tunashukuru kuwa ukingali mzima na unaendelea vema
Unapendwa, Unajaliwa na Kuombewa kila lililo jema
Blessings

Post a Comment