Hata kama ni mapenzi yaliyopitiliza kwa wanyama wetu tuwafugao majumbani mwetu,kwa tukio hili sasa tumepitiliza.Kama huyo paka alikuwa anahitaji maziwa ni vyema yangenunuliwa na akapewa anywe kuliko utaratibu huo uliotumika ambao kiafya naamini sio mzuri. Mdau-INDIA.
2 comments:
mmh! jackie mbona watutega hapa jamani, nway kama usemavyo n wazungu, kwetu waafrika haya si ya kuiga.
Hata kama ni mapenzi yaliyopitiliza kwa wanyama wetu tuwafugao majumbani mwetu,kwa tukio hili sasa tumepitiliza.Kama huyo paka alikuwa anahitaji maziwa ni vyema yangenunuliwa na akapewa anywe kuliko utaratibu huo uliotumika ambao kiafya naamini sio mzuri.
Mdau-INDIA.
Post a Comment