skip to main |
skip to sidebar
Hili ndio gari pekee mkoani mbeya linalotumika katika kampeni na matangazo mengi ya serikali mkoani hapa, akiwa anakuja kiongozi yeyote this gari ndio linatumika kufanya P.A. sasa miezi kadhaa iliyo pita lilipata ajali ya moto, angalia mweyewe
No comments:
Post a Comment