
shime watanzania tuendelee kumpigia kura kwa wingi mwakilishi wetu asitolewe kwa kumpigia kura kwa kutuma sms kwa wingi,kwa kuandika neno VOTE ELIZA kisha tuma kwenda namba 15726 au unaweza mpigia kura kupitia mtandao huu www.mnetafrica.com/Bigbrother, amenusurika na kubahatika kubaki tuendelee jamani
1 comment:
tumeshampa kura zetu na inshallah amenusurika, haya mama kanyaga twende!
Post a Comment