Tuesday, October 13, 2009

KICHWA HATARI TOKA MBEYAZ

Jamaa yupo juu sana kwa sasa tofauti na nilivyokuwa namfahamu mimi.Anaitwa Izo B maskani kwao ni ILOMBA MBEYA alianza kama utani na wimbo wake wa kwanza uliitwa PISHA, kwili tulimpisha and now amekuwa juu, keep it up IZZO B,

No comments:

Post a Comment