Wednesday, October 28, 2009

MMMMMMHHHHHH!!!!!!!!!

sasa jamani huna mtoto au? paka hana mama au? na hilo ziwa mtoto wako nae atanyonya au? hawa ndio wazungu buana, haoni ajabu.

2 comments:

viva afrika said...

mmh! jackie mbona watutega hapa jamani, nway kama usemavyo n wazungu, kwetu waafrika haya si ya kuiga.

Anonymous said...

Hata kama ni mapenzi yaliyopitiliza kwa wanyama wetu tuwafugao majumbani mwetu,kwa tukio hili sasa tumepitiliza.Kama huyo paka alikuwa anahitaji maziwa ni vyema yangenunuliwa na akapewa anywe kuliko utaratibu huo uliotumika ambao kiafya naamini sio mzuri.
Mdau-INDIA.

Post a Comment