mwa

huu ni msimu wa matunda unayoyaona, sasa hii ni hatari kwa watoto kupanda juu ya mti kama unavyowaona hao watoto, miti yenyewe haina nguvu kama mti wa maembe au mparachichi,mwanao anakutoroka anaenda kushughulika mtini akirudi kaumia. wazazi mnatakiwa kuwa makini
No comments:
Post a Comment