Monday, October 5, 2009

HILI NI TATIZO

Hawa ni Watanzania waishiyo wilayani Mbarali, kwa shida ya Maji hawatofautiana sana na wenzao wa linaloitwa Jiji la dar es Salaam. Watoto hawa walikutwa wakichota maji katika kisima kilichochimbwa ndani ya mto uliokauka maji. maeneo mengi mkoani hapa hili tatizo lipo, tumeshazoea kukaa siku 3 hadi 4 without maji.



No comments:

Post a Comment