Tuesday, September 22, 2009

WASHKAJI HAPA VIPI?

nikaona siyo mbaya kupata picha ya peke yangu, ndani ya bustani ya mbeya MBEYA FM .full kuvutia au unasemaje ? unajua mbeya bwana ndege huwa tunaona mara moja kwa mwaka ila siku hiyo ikapita kwa hiyo sikuona noma kuishangaa ndio maana nimeangalia juu.

1 comment:

Anonymous said...

Jackline unamchumba mimi natafuta mpenzi kama vipi tukubaliane au umasemaje?

Post a Comment