Sunday, February 21, 2010

NI SOO

Hivi jamani hadi inakuwa hivi ni nini hasa, ni ukweli au wameamua kutuchekesha.

3 comments:

Othman Michuzi said...

kwanza huyu ni wa kike au ni wakiume???????maana kabla sijaamua kubibu swali lako niweke sawa kwanza katika hilo.

Lulu said...

Nani kaleta huku picha yangu jamani? Mwenyewe niliangusha sabuni sasa naiokota.

Jackline Charles said...

duh pole lulu, mimi mwenyewe nilikuwa natafuta mwenyewe kumbe ni wewe? basi usijali nimekuhifadhia.

Post a Comment