Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo
Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku huu katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, pili kulia ni mshindi wa pili Pendo Sam na pili kushoto ni Rachel Filbert mshindi wa tatu,kulia ni mshindi wa nne, Judith Osima na kushoto ni mshindi wa tano,Rahma Swai. Tano Bora washiriki wote wakiwa wamejipanga kabla ya mchujo wa tano bora warembo wakionyesha shoo yao Mangwer akifanya vitu vyake katika kusherehesha shindanano hilo lililomalizika usiku huu katika viwanja vya Karimjee,jijini Dar. Quick Raca na Suma Lee wakionyesha vitu vyao jukwaani.
No comments:
Post a Comment