Jana nilikuwa makini sana kufuatilia mechi zote zilizocheza, nilitegemea kuwa MAN UUUU tungeibuka washindi bwana lakini ikawa tofauti. haijalishi kwa sababu tulikuwa tunawaza tungeweka wapi kombe maana makabati ya MAN YAMEJAA DHABU TUPU.pamoja na kukosa bado tunaongoza, tushachukuwa mara 11, chelsea ndio kwaaaaaaaaaanza mara ya 3, lakini freeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesh, saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi
1 comment:
Dada kumbe upo?
Kiiimya ndugu.
Blessings
Post a Comment