Monday, March 8, 2010

SIKU YA WANAWAKE

Ikiwa leo ni siku ya wanawake duniani na mimi nikiwa kama mwanamke ,nawaza nipewe nafasi, naungana na wanawake wenzangu duniani kote kuwapongeza na kuwatakia kila la heri katika siku zijazo na kwa kuwa tunaweza basi nafasi tunazopewa tuzitumie vizuri kuonyesha kuwa tunaweza.

6 comments:

Anonymous said...

jackline nafasi gani unataka kupewa uliyonayo badi unafikiri umeachwa cha endelea kuchakaraka mrembo

Jackline Charles said...

siyo kwamba nafasi niliyonayo ni mbaya no. nataka niwe nafasi ya kuwa prezidaa bwana

Anonymous said...

Labda uwe prezidaa wa Kuku lakini sio watu,na sijui nani kakubanganya leo???

Jackline Charles said...

DAH! HAYA BWANA BUT ONE DAY YES WE NGOJA, HATA KAMA SIYO KUWA RAIS NINA UHAKIKA SIKU MOJA LAZIMA NITAKUWA NA WADHIFA FULANI, NAJIAMINI KWANI WALIOWEZA WAMETOKA WAPI? NA KWA NINI MIMI NISHINDWE? LAZIMA NIWEZE KAMA WAO. HUWEZI KUFIKA KUMI BILA KUANZA NA MOJA. I BLV IT.

Anonymous said...

jack achana na huyo mjinga mpitiaji 5:39 anaonekana kafulia kimawazo kama msemoweno wa tz,nadhani ni mmoja ya hao kuku anaotaka uwaongoze, kaza buti mamaa kwenye nia kuna njia

Mzee wa Changamoto said...

Dadaa Upo wewe?
Naona busy saana hata barua pepe hujibu.
Basi nikutakie Ijumaa Kuu iliyo tulivu na PASAKA NJEMA
Blessings

Post a Comment