Monday, March 29, 2010

KARIBU MGENI

Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog mbalimbali , blog yangu mpya niliyoianzisha inaitwa http://www.muzikinamaisha.blogspot.com/,blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.
Akhsante!!!!!!!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Umesomeka kiongozi....ts been very long time mayn....!!Ngasa hapa

Post a Comment