Tuesday, March 2, 2010

Happy Birthday Othman Michuzi

Katika maisha tunayoishi sisi binadamu, kuna mambo mengi huwa tunakutana nayo,na huwekwa katika kumbukumbu, pia kuna matukio ambayo yalitokea na kuwekwa katika kitabu cha kumbukumbu. Leo hii kaka yangu mpendwa Othman Michuzi (pichani) anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo hutokea mara moja tu kwa mwaka mzima.nami kwa niaba ya watembeleaji wa Blog yetu hii,naomba kuchukua fursa hii kumtakia kila la heri kaka Othman na Mungu amjaalie maisha marefu na yenye baraka tele.


HAPPY BIRTHDAY OTHMAN

1 comment:

viva afrika said...

na iwe kheri kwako kaka, manani akupe kila lililo la kheri, amin,,,,,,,,,

Post a Comment