hivi majuzi timu yetu ya taifa ilipata pigo kubwa mara baada ya kufungwa goli moja na timu ya Ivory Coast, pamoja na kufungwa vijana wetu walicheza mchezo mzuri sana, hatuna haja ya kumlaumu kocha wetu Maximo kwa sababu ameitoa taifa stars mbali pamoja na kuwa kuna baadhi ya watu wanamlaumu kwa kusema kuwa hafai. Tanzania tunaweza na siku zote tuwe mbele katika kutia moyo na siyo kukatisha tamaa.
kikosi cha TAIFA STARS
kikosi cha IVORY COAST
kubadilishana mawazo ni jambo la kawaida, pichani ni moja ya mashabiki wa taifa stars akiwemo Jack wakibadilishana mawazo ndani ya uwanja wa taifa
baadhi ya mashabiki wakiwa uwanjanwakwanza kulia ni mmoja wa washindi waliojishindia safari ya kwenda dar kushuhudia mtanange huo, akifuatiwa na mshindi wa pili, na anayefuata ni binti Charles wakifuatilia mpira kwa makini
baada ya kufungwa mawazo yalibadilika lakini haikuwa vibaya kwani kama mpira tulicheza jamani
1 comment:
wapenzi wa mpira wa bongo hawataki kusikia neno kipigo, labda useme taifa syaz imejikakamua na kuzuia kipigo kikali
Post a Comment