Tuesday, December 8, 2009

HIVI NDIVYO DIAMOND MUSICA WALIVYOFANYA MAMBO UKUMBI WA ROYAL ZAMBEZI MBEYA





Diamond walikuwa mbeya jumamoc na walifanya bonge la show. show hiyo ilifanyika maeneo ya soweto katika ukumbi wa royal zambezi. baada ya hapo j2 walikwenda Tunduma na jana wakaondoka kurudi Dar na leo asubuhi ndio wamefika.

No comments:

Post a Comment