Sunday, November 22, 2009

MDAU WA SOKA KATIKA SHANGWE


mdau wa soka toka pande za Kanda E akiwa ni mwenye furaha na akishangilia ushindi wa timu yake ambayo ndio iliyoibuka kidedea siku hiyo baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati.ushindi raha jamani

No comments:

Post a Comment