Sunday, November 22, 2009

MAUZO YA UKWELI

mtoto wa mzee nanihii mwenyewe nikiwa katika pozz
wadau wa Mbeya Fm tukijiachia kwa raha zetu,mara tu baada ya mpira kumalizika.
washindili wa ligi za Kanda,wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Mbeya Fm ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa mashindano hayo.
mauzo muhimu japo kwa siku moja moja.

4 comments:

Anonymous said...

hivi Jack huwa unakasirika? sipati picha ukikasirika unakuwaje

Mimi said...

Mashaallah mtoto umejaaliwa wewe,mtoto una mguu wa ka chupa ya maji ya kilimanjaro,mtoto jicho jicho........

jamani!! naomba tuwasiliane wewe dada.maana mwenzio niko hoi hapa nikiangalia hizi picha

Anonymous said...

bwana katutolea ile picha yake nyingine akiwa ofisini. turudishie bwana Jack mbona hivyo?

Romeo- dodoma

Anonymous said...

nyie viumbe msione vyaelea mjue vimeumbwa.ok?WAKORA WAITU.

Post a Comment