
Ni jambo la busara na maana inapofika wakati wapendanao wakaamua kufunga pingu za maisha. ndivyo ilivyokuwa kwa bwana MAJEED na bibi AIMAH kufunga pingu za maisha. mwanakaka huyu japokuwa anaishi na kufanya kazi mbeya hakuna mwanamke aliyemvutia na ndio maana akaenda Zanzibar na kumchukua mtoto huyo. Abdulmajeed ni MARKETING MANAGER WA EXIM BANK MBEYA. Pia ni MANAGER WA 89.5 MBEYA FM RADIO. sisi kama wafanyakazi wa MBEYA FM tunakutakia kila la heri katika maisha mapya ulioanza ingawa ndio kwanza hata wiki haijaisha tangia ufunge ndoa takatifu. kila la kheri brother.
No comments:
Post a Comment