Tuesday, October 6, 2009

USIJARIBU

Wale kina nanilii mnaopenda kuogelea mtoni mtajiju, angalieni mwenzenu kalea mimba miezi 9 halafu kazaa mtoto chotara, huyo mama alikuwa anapenda kuogelea kwenye madimbwi. kazaa bonge la handsome boy. jamani jihadharini waacheni wakina othmani michuzi na Ahmad michuzi waliozoea kuogelea mtoni kwa madai eti wanakwenda na wakati.

1 comment:

Othman Michuzi said...

wewe Msichana wa kike una matatizo kweli kweli.kwa hiyo mwenye mtoto huyu unaona alipendaa eehh??

Post a Comment