Tuesday, September 22, 2009

USIPIMIE

Mimi ni bonge la dj asikuambie mtu, hapa nilikuwa nimetoka pindi ila dj Nesti akaniambia nimuanzishie mdogomdogo, ilikuwa saa nane. sasa aliyekuwa ananipiga picha akaniambia nipige jingle yangu ili iskike kwenye picha ndio maana nilicheka.

No comments:

Post a Comment