Tuesday, September 15, 2009

ELIZABETH GUPTA

Si mnajua mashindano ya BBA yanaendelea, na mwaka huu Tanzania tumempeleka mwanadafwada anayeitwa Elizabeth Gupta. lakini kuna watu wamemaind na kusema eti huyu dada hana mvuto, je, ni kweli? kwa upande wangu huyu dada ni mzuri na anaweza akawa mshindi ila tu asije kuwa kama LATOYA. mi namtakia kila la heri mdada LIZZY

No comments:

Post a Comment