Tuesday, February 23, 2010

NINI KIFANYIKE ILI KUWANUSURU WATOTO WA MITAANI??

hawa ni kati ya watoto wengi sana waliopo katika mitaa mingi ya majiji ya hapa nchini kwetu,na ukiwaangalia watoto hawa wengi wao ni wenye umri wa kuwa shule lakini wao ndio kwanza wako humu mabarabarani wakitafuta riziki zao.sasa swali linakuja,Je ni nini kifanyinke hapa nchini kwetu ili kuweza kuwanusuru watoto hawa na kufanywa wawe mashuleni kwa kipindi hiki???

No comments:

Post a Comment