WADAU WANGU WAPENDWA
KWANZA KABISA NAOMBENI RADHI KWA KUTOWAWAHABARISHA KITU CHOCHOTE NDANI YA BLOG YETU HII,KWANI KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WANGU.
ILA NAOMBA KUWAARIFU KWAMBA KWA SASA NIMERUDI MITAMBONI NA MAMBO YATAKWENDA KAMA YANAVYO PANGWA NA KUPANGIKA KISAWASAWA.HIVYO BASI NAOMBENI MNIPOKEE KWA MARA NYINGINE NA TULIANZE TENA LIBENEKE LETU LA KUHABARISHANA.
BILA KUSAHAU KUWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE TU KUFIKIA KUADHIMISHA SIKU YA WAPENDANAO,AMBAYO KILELE CHAKE HUWA TAREHE 14/02 YA KILA MWAKA,NAOMBA NIWAPE NAFASI WADAU WANGU WOOTE NA POPOTE PALE MLIPO KUWEZA KUTUMA PICHA,HABARI,KAMA UNA BIRTHDAY USISITE KUTUMA PICHA ZAKO PIA,PICHA ZA HARUSI,KUTUMIA SALAMU,KUTAKIANA KHERI,KUMTAFUTA MTU MLIEPOTEZANA KWA MUDA MREFU NK.HII YOTE NI KUTAKA KUWEZA KULISONGESHA VYEMA LIBENEKE LA BLOG YETU HII
MNAWEZA KUTUMIA KUPITIA EMAIL HII jacklinecharles21@yahoo.com NAMI BILA HIYANA NITAANIKA HAPA BARAZANI NA KILA KITU KITAKWENDA POA.KWANI HII NI BLOG YENU NA TUMIENI MUWEZAVYO.
NAWASHUKURUNI SANA NA NAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA MAANDALIZI YA SIKU YA WAPENDANAO.
WENU,
JACKLINE

1 comment:
La kushukuru Mungu ni kuwa ukingali mwema.
Twashukuru kwa uwepo wako na utayari wa kuandika na kutujuvya mengi mema toka huko.
Baraka kwako na kila la kheri.
PamoJAH
Post a Comment