Toto Ze Bingwa akifanya vitu vyake
safu nzima ikila mzigo ndani ya kiwanja chao cha nyumbani cha Msasani Beach Club,jijini Dar
Kiongozi wa Acudo Impact,Mukulu Crstian Bela akiyarudi magoma
full mziki ya Acudo Impact ikiwaburudisha mashabiki wao.hii ilikuwa ni siku ya jumapili pale Msasani Beach Club,ambapo kila jumapili bendi hiyo hupiga muziki wao hapo.
No comments:
Post a Comment