Tuesday, December 22, 2009

UGENI WA NGUVU

Jumamosi ya wiki iliyopita nilibahatika kutembelewa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi AZIMIO iliyopo maeneo ya Uhindini jijini hapa, nilifurahi kwa sababu ni bahati ilioje kupata wageni hasa watoto.
nikiwa studio nilipata picha pamoja na watoto ambao kwa kweli walinifurahisha sana ingawa wengine hawajaonekana.

No comments:

Post a Comment